Mungu mwema kitabu kipotayari

KUTOKA 15:26-27 "Akawaambia, kwamba utaisikiza kwa bidii sauti yake, mimi sitatia juu yako maradhi yoyote niliyowatia wamisri kwa kuwa ndimi Bwana nikuponyaye. YOHANA 8:31-32. Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno Yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli. 32Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.’’