JINSI MKRISTO ANAVYOPATIKANA Ukristo siyo jina au dini au dhehebu lolote - Kuna mambo mengi yanayotufanya tuwe kama kristo alivyo kusudia tuwe nayo ni haya yafuatayo-: Ukimkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako unapaswa kuwa mkristo wa kweli, ukristo haurithiwi wala haufuatishi ukoo. ZIKO HATUA 3 ZA KUMPATA MKRISTO 1. HATUA YA KWANZA NI KUAMINI NA KUKIRI - Ukiri una maneno mawili i. Ukiri kama unamwamini Kristo kuwa ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako ii. Ukiri kama toba – unatubu juu ya uovu wako wote Rumi 10:17 - Ili uamini ni lazima usikie neno sahihi la Kristo kusikia ndiyo mwanzo wa kumkiri Kristo. - Imani chanzo chake ni kusikia neno la Mungu, kile unachokisia chenye kuleta wokovu ni kile kinachotoka kwenye kinywa cha Kristo Yesu mwenyewe. Mfano:Yesu aliwaambia wanafunzi wake jiangaliaeni jinsi msikiavyo Rumi 10:9-10 Kukiri kwa kinywa kutoka ndani ya moyo hakuna wokovu kama hujaamini kutoka ndani ya moyo wote. Moyo wako ukihukumiwa utamkiri Yesu kwa Kinywa. Imani unayokir...