MISINGI NI
Zab
11:3; Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya
nini?
Kuna uwezekano msingi ikiharibika au
usiharibike
Linapotumika neno ni kwamba jambo bado
halijatokea kama haki aliyeko akamhusu misingi iharibike ana uwezo wa kufanya
nini?
KUTOKA 15:26-27 "Akawaambia, kwamba utaisikiza kwa bidii sauti yake, mimi sitatia juu yako maradhi yoyote niliyowatia wamisri kwa kuwa ndimi Bwana nikuponyaye. YOHANA 8:31-32. Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno Yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli. 32Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.’’
Zab
11:3; Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya
nini?
Kuna uwezekano msingi ikiharibika au
usiharibike
Linapotumika neno ni kwamba jambo bado
halijatokea kama haki aliyeko akamhusu misingi iharibike ana uwezo wa kufanya
nini?
KARIBUNI SANA
ReplyDelete